WANAJESHI KAMBI YA KABOYA WAPEWA ELIMU KUHUSU UGONJWA WA MARBURG.

Katika jitihada za Serikali za kuhakikisha kila jamii inafikiwa  na elimu kuhusu  tahadhari na kujikinga dhidi ya  ugonjwa wa Marburg baada ya kuripotiwa Mkoani Kagera,  Askari  wa Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)  Kambi ya Kaboya Wilayani Muleba Mkoani Kagera wamevutiwa na  hatua zinazofanywa na Wizara ya Afya za uelimishaji kuhusu  tahadhari ya kujikinga na ugonjwa huo. Akizungumza  mara baada ya kutembelea  kutoa elimu katika kambi ya